WAISLAMU WATAKIWA KULIOMBEA TAIFA IWEZE KUNUSIRIKA NA MAJANGA

Waumini wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuendeleza kuiombea nchi yetu ili iweze kunusurika na majanga mbali mbali yanayoweza kujitokeza. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla ametoa wito huo wakati akisalimiana na Waumini wa Masjid JAMAEE ALSALAM uliopo Fuoni Wilaya ya Magharibi ‘B’mara baada ya kumalizika Swala ya Ijumaa. Amesema ni